Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

Duh, haki ya nani dish la johnthebaptist limecheza tena wacha tumpeleke Mirembe! Sangu mbunge wa Kilwa? Kazi kweli kweli! Tangu kifo cha Jiwe dish lake huyu jamaa halijakaa sawa tunapata taabu sana!
Cha msingi ni mbunge wa Kilwa.

Hata hapa Kawe jina la mbunge wangu silijui bwashee!
 
Cha msingi ni mbunge wa Kilwa.

Hata hapa Kawe jina la mbunge wangu silijui bwashee!
Wacha uchuro wewe tafuta chanzo kizuri cha hiyo habari kizuri, wacha kuokoteza habari. Ukweli mbunge wa Kwela siyi Kilwa!!
 
Wakati mmoja alikuepo Katibu MKUU Imara sana pale TAMISEMI alikua anaitwa ENg Iyombe nadhani, nilimsikia siku moja akikemea Vikali masuala ya chuki na kutanuliana mabega katika ngazi hizo. mtakumbuka kipindi kile Ma DC, NA RC walikua wanakamata sana watu kuwaweka ndani. Miaka ya 2016- 2018.

Eng Iyombe aliwaonya vikali kwa maneno na sauti ya Mamlaka kabisa akiuliza kila mtu huko ana kazi zake kisheria, Mbunge,DED na DC kila mtu ana wajibu na majukumu yake kisheria.

Tatizo ni kuonyeshana umwamba na hivyo kuwindana ili kila mtu amuumize mwenzie, aidha kwa kumzushia uongo au kumchongea uzandiki tu..Na kwasababu Uongo katika nchi hii hupita short kati na kufanyiwa kazi basi hawa huundiana tuhuma na kumalizana..Ukweli ukifichuka tayari mtu kaumia na wala hawezi tena kujirekebishia maisha yake.

Mhimu sana serikali kuepuka mitego ya iana hii, maana inajenga chuki, inasababisha kazi haziendi na kila mtu anajiona anaweza kumzushia mwenzie ammalize...WATU wana roho mbaya sana kwenye kazi hizi,,,

Ushauri kwa Mama , Wakatalie wapia majungu Mama, ila kama kuna ukweli tu ndio mtu achukuliwe hatua ila majungu kataa kabisa.
 
Kimsingi MaDED ndio kwa jiihada zao wakishirikiana na NEC waliofanikisha kuwapa ubunge hao vilaza wasio stahiri. Sasa kama wanaleta mdomo mdomo mbele ya mabosi zao watakiona.

Mwingine ni Mbunge wa Kerwa huko Sumbawanga analalamika eti DED anamdharau na kumtukana mbele za watu.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Kilwa n halmashaur ya kipigaj Sana kila mkurugenz anapiga sababu Kuna hela ya gawio la kampun ya SONGAS ya songosongo n mzigo mnene hapo ndipo ugomvi unaanzia mbunge anaitolea macho na mkurugenz jicho linatoka pia

ADDO MAPUNDA nadhan Sasa n RAS MKOA FULANI ndyo aliyekula pakubwa katika mgao huo
Ongezea na mpunga kutoka Panafrican Energy.
 
Kuna shida mahali, lile la Sengerema limeishaje; la Geita liliishaje?. Wakurugenzi wataisha wote - tutengenezeeni ajira
 
Kombe lilitakiwa liende cuf au act, DED akafos kingi mbunge wa CCM apate. Sasa ni kinyago chake alichokichonga mwenyewe
 
Back
Top Bottom