Du! Mkuu una roho mbaya sana aisee! Mbona wabunge wanaolipwa milioni 15 kwa mwezi lakini kila siku wanalalamika pesa hazitoshi huwaachishi kazi kwa kuwanyima kura?Watumishi wasiongezewe mishahara. Mishahara inawatosha ndiyo maana hawaachi kazi
Mtumishi anayeona mshahara hautoshi aache kazi. Awe mjasiriamali.
Baba ako ni mbunge hebu tuekee risiti za mwisho wa mwezi huu tujue ukweli upo wapiDu! Mkuu una roho mbaya sana aisee! Mbona wabunge wanaolipwa milioni 15 kwa mwezi lakini kila siku wanalalamika pesa hazitoshi huwaachishi kazi kwa kuwanyima kura?
Hivi kuna bunge au kikao cha Ccm??Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan. Ametamka hayo bungeni leo wakati akichangia mapango wa maendeleo wa 2022-2025 bila kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumuogoa mtu yeyote. Hebu msikilize wewe mwenyewe kwenye klipu hiyo hapo chini [emoji116]
Watumishi wasiongezewe mishahara. Mishahara inawatosha ndiyo maana hawaachi kazi
Mtumishi anayeona mshahara hautoshi aache kazi. Awe mjasiriamali.
Mwendazake ni mmojawapoIla nchi hii kuna watu wana roho mbaya sana---hawapendi kusikia watumishi wanaongezwa mshahara ili kuongeza mzunguko wa pesa mtaani. Roho mbaya hiyooo!!!!
Yeye wafanyakazi wake kawaongeza?Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan. Ametamka hayo bungeni leo wakati akichangia mapango wa maendeleo wa 2022-2025 bila kupepesa macho, kutikisa masikio wala kumuogoa mtu yeyote. Hebu msikilize wewe mwenyewe kwenye klipu hiyo hapo chini [emoji116]
Ni kikao cha kamati kuu ya CCM ijapokua kuna baadhi wanajilipua bila kujali yanayoweza kuwafika mbele ya safari. Mbunge wa CHADEMA Kasuku Bilago, alihoji mambo ya mishahara kwa watumishi akauawa. Huyu Shabib naye ajiangalie yasije yakamkuta.Hivi kuna bunge au kikao cha Ccm??
Hivi umemsikia vizuri alichosema huyo mbunge au unakurupuka tu? Nyie ndio aina ya watu ambao mnawarudisha CCM madarakani kila mwaka lakini kila siku unalalamika maisha magumu. Siwashangai, akili zenu zimebemendwa!Asiyeridhika na mshahara anaolipwa aache kazi aone ilivyo kazi kupata kazi ya mshahara anaotaka. Ilisikika sauti tokea chumba cha pili cha giza cha mtumishi
Wajasiria mali ndiyo wanamaisha mazuri hapa Tanzania? Mnachochea wizi na rushwa tu.Shabiby ni mkweli na waziri wa fedha asitafutiwe sababu za kutopandisha mishahara.Watumishi wasiongezewe mishahara. Mishahara inawatosha ndiyo maana hawaachi kazi
Mtumishi anayeona mshahara hautoshi aache kazi. Awe mjasiriamali.
Umeshamtembelea mwenyekiti?Ila nchi hii kuna watu wana roho mbaya sana---hawapendi kusikia watumishi wanaongezwa mshahara ili kuongeza mzunguko wa pesa mtaani. Roho mbaya hiyooo!!!!