Mbunge wa CCM akijiliwaza baada ya kukosa Uwaziri

Mbunge wa CCM akijiliwaza baada ya kukosa Uwaziri

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)

Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.
 
Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDA IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)

Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.

Mmmh! hii kali, ha ha ha! hawa watu wa udaku nao, zee la watu linachezeshwa pekechapekecha wao na vikamera vyao!
 
kweli mzee anajipoza.. duh hawa ndio watawala wa tz
 
Kula raha mzee,jisaulishe matatizo yako na pekechapekecha wee.
 
Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDA IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)

Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.

Naona wanapekechana kula raha mzee umri umeishasogea huo, ha ha ila huyu Kapuya kiboko
 
Nimeipenda sana..! Lakn mzee anaonekana kama pekecha inamwingia vizuri naona mawazo yako mbali. Haya
 
Ni kweli mkuu, yeye ndiye mmiliki na AKUDO ni kifupisho cha herufi za mwanzo za majina ya watoto wake:
Athuman
Kulwa
Doto

hivi huyu mzee alikosa kitu cha ku invest kabisa akaanzisha bendi...au
 
Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.
Kwa lipi?! Mbona chenge, lowassa, iddi simba, megji, nagu, mramba et al walinywea nywiiiii mara baada ya kupigwa chini uwaziri?
 
Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)

Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.

Mmmhhh, jamani jamani jamani jamani, huyu mzee anatuabisha wazee wenzie. Halafu nimekumbuka kastori fulani kanakomhusu huyu mheshimiwa kuhusu mambo ya wakubwa. eti ni mpenzi sana wa "style" hiyo. aliniambia jamaa mmoja anayetoka jimbo la mhe. wakati wa kampeni "watoto" huwa wana.... kwelikweli.
 
comment za udini zinakwaza sana. as much as it is always tempting to vent out anger or frustration towards someone else's religion its wise to succeed in not succumbing to such a wicked temptation!
 
Mnyamwezi huyo. Sema kabahatika tu kuwa na akili ya kutafuta hela/kutunza hela zake kwa kuwekeza.

Ila kujiheshimu kwake ni HAKUNA.

Angelikuwa ni Mchaga, basi Mengi ingelibidi aanze kujiandaa kwani Mpinani anakuja.

Ovyooo kabisa. Hako si KAJUKUU kake? Kemembambikia Wowowo na yeye hata wasiwasi hana, anakinyonga tu kiuno....

Kuna ule wimbo wa Kinyamwezi naona ameukariri sana " yuyoyuyo Wazwa mbili sanga wakula...." ikiwa na maana "huyo huyo aliyeota matiti, ujuwe amekuwa....." Sijui nimwite FATAKI? Kwa kucheza tu? Mhhh Mixed feeling.
 
Hawa ndio aina ya viongozi wengi ndani ya CCM wanaotuongoza. Hivi unategemea nini? toka kwa watu kama hawa wasio na maadili na heshima! no vision people! hii nchi tutaongozwa mpaka lini na wahuni? oh God help us! huyu nae eti ni mbunge,mume wa mtu na baba wa watoto ama kweli ni hasara tupu.
 
Back
Top Bottom