Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)
Ni matumaini kuwa mheshimiwa Prof. Kapuya pia ataonyesha juhudi za dhati kama vijana kwa kupinga malipo kwa DOWANS wakati wa kikao cha bunge Februari 2011 mjini Dodoma.
Tatizo langu ni huyo anayebanjuka naye, naona kama hawaendani kabisa.
hivi huyu mzee alikosa kitu cha ku invest kabisa akaanzisha bendi...au