Mbunge wa CCM akijiliwaza baada ya kukosa Uwaziri

Ba Ba Banjuka tu, naweka shida nchini natupa mikono juu ..........
 

Mbunge Mh. Profesa Kapuya akicheza dansi kwa mtindo wa 'pekecha-pekecha' wa bendi ya AKUDO IMPACTO ndani ya ukumbi wa Mango Gardens jijini Dar-es-Salaam wikiendi iliyopita(picha hisani ya Globalpublishers)

Ukisikia nimekufa usiweke msiba... bali sherehekea kwa sababu una roho mbayaaa.....Jamani mimi sina tatizo na hiyo action. tatizo langu ni huyo anayebanjuka naye, naona kama hawaendani kabisa. angekuwa na kifaa kama mzee wetu hapa chini, ningempa big up!

 

Hiyo Club watu hawaruhusiwi kuvaa viatu? Naona waliowengi wako kwenye kobas wakaka kwa wadada
 
Baridiee baridiee baridiee, Baridiee baridiee baridiee, Bella apocalypse......!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…