Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Mkutano wa Mbunge na mabendera ya CCM, huku mkituaminisha mbunge anapochaguliwa anakuwa wa vyama vyote?Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina.
Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga amepeleka salaam za Mbunge wao Mhe Kafumu NDIPO Wananchi wakaibua mayowe kuwa "Hawamtaki na hawatamchagua tena Mwaka huu yeye na Diwani wa Igunga Mhe Bomani"View attachment 1378242
Ohooooo !!
Dawa ni kuweka wagombea wapya kila jimbo, nione mwananchi atalaumu kwa lipi.
Hii ni OG ile ya Hai ilikuwa ya kutengenezwaMbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina.
Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga amepeleka salaam za Mbunge wao Mhe Kafumu NDIPO Wananchi wakaibua mayowe kuwa "Hawamtaki na hawatamchagua tena Mwaka huu yeye na Diwani wa Igunga Mhe Bomani"View attachment 1378242
Ndio akichaguliwa anakuwa wa vyama vyote, lkn anatekeleza ilani ya CCM.Ndio vizuri akajua kuliko wangengoja kummaliza kwenye boksi la kura kimya kimya!
Vuta kumbukumbu kwanzaHii ni OG ile ya Hai ilikuwa ya kutengenezwa
Jr[emoji769]
Ndio vizuri akajua kuliko wangengoja kummaliza kwenye boksi la kura kimya kimya!
Halafu ile ya Hai waliokuwa wanazomea walikuwa wamekaa sehemu moja woteHii ni OG ile ya Hai ilikuwa ya kutengenezwa
Jr[emoji769]