vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Hii ni OG ile ya Hai ilikuwa ya kutengenezwa
Jr[emoji769]
Siasa za Igunga zinatoa nafasi kubwa kwa upinzani kushinda ...rejea uchauzi wa marudio baada ya Rostam kujitoa Kafumu na CCM walitumia nguvu kubwa sana pamoja na vitimbi vya kumwagiana tindikali etc ndio Kafumu akashinda, hata hivyo mbunge huyu alikubali kuwa pale kwa malengo maalumu ya wakati ule wa JMK , sasa hivi sio Kafumu anataka kurudi Bungeni na pia CCM hawana Nia Tena na ndugu huyo kwani hawana faida naye hivyo Ile zomeazomea ni halisi na sio ya kubumba kama Ile ya kutengenezwa Kule Hai kwa Mbowe