Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hata wewe mrembo Salma kama hujawahi kufungwa unaruhusiwa kumiliki silaha.Kwani wabunge wote wa CCM alikuwaga manjagu??Mbona kila mmoja anatembea na mguu wa kuku, NjeNje..
Huyo jamaa hata akifungwa sidhani kama kuna mtu atasikitika, maana amekuwa pupet wa waburushi walitunyang'anya mashamba yetu wazawa huko mbarari na kuendelea kulamba masaburi ya akina Muula. Hajawahi kumsaidia mlala hoi hata mara moja. Hebu ngoja aachie hicho kiti wenye nchi tuchukue na kurudishiwa rasilimali zetu kupitia Peopleeeeeez Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hiyo hata kushinda alitumia ufisadi! Watu waendelee kujifunza na kufunguka macho.