kwa muda wote nilikuwa nasoma ujumbe nione nini lengo na uweledi wa mtoa mada ili nitoe mchango wangu! nimebaini anafahamu kuwa hivi punde CHADEMA itaingia ikulu ila anatoa rai kuwa, wasichague mwananchi wa darasa la saba kwa nafasi ya uwaziri! si wazo baya, ila anaonekana jinsi alivyo na makengeza ya maamuzi, haoni umati wa wasomi nyuma ya CHADEMA, anaona mbunge mmoja darasa la saba, japo mahili pia. this is myopic prejudice! hadi 2015 yeye na wenzake wenye mlengo huo watakuwa wameelimika kujua umuhimu wa CHADEMA ktk wakati uliopo. hajui huyu utamu wa ngoma asiyoicheza, kwamba CHADEMA hawana mpano wa kuwa na baraza kuuuuubwa la mawaziri marafiki wa nyakati zote! na hivyo wasomi waliopo bado hawata pata nafasi wote, wanamajukumu mengine yenye maslahi kwa Taifa hili tajiri kwa rasilimali japo wana CCM, wamelibatiza jina kuwa masikini, i rebuke msemo huo na laana iliyo ndani yake....Tanzania si masikini ng"o.