johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Dadeq tayari uko bwaxi hapo kupoteza Marsha ndiyo nini hicho,hizi pombe za offer zitakuua wewe dogo.Mbunge Charles ameshambuliwa kwa risasi na watu wawili wasiojulikana waliokuwa kwenye Bodaboda na kupoteza Marsha
Dereva wa mbunge Huyo amenusurika katika shambulio Hilo lililotokea Nairobi
Source: Citizen tv
Tukio kama la shambulio la Tundu Lisu 2017
Tupo Singida 😁🇹🇿Dadeq tayari uko bwaxi hapo kupoteza Marsha ndiyo nini hicho,hizi pombe za offer zitakuua wewe dogo.
Punguza gambe.Tupo Singida 😁🇹🇿
Were ni mbunge wa Chama cha ODM wa eneo bunge la Kasipul.
Kenya hawecheki na wowote 🤨Mbunge wa Chama cha ODM, Charles Were amepigwa risasi na kuuawa katika mzunguko wa hifadhi ya City kwenye barabara ya Ngong jijini Nairobi na watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki muda mfupi uliopita.
Were ni mbunge wa Chama cha ODM wa eneo bunge la Kasipul.
Tukio kama la shambulio la Tundu Lisu 2017
View attachment 3321294
Maafisa usalama nchini Kenya pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye eneo la hifadhi ya City kwenye barabara ya Ngong jijini Nairobi, sehemu aliyopigwa risasi, Mbunge wa Chama cha ODM, Charles Were, wakikagua gari alilokuwemo Mbunge huyo baada ya kupigwa risasi na watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki.
View attachment 3321298
Lakini kwa Ruto wameshindwa😎Kenya hawecheki na wowote 🤨