Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani.
Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi mkuu ujao.Akichangia azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kufanikisha Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, leo Januari 31, 2025, Bungeni jijini Dodoma.
Kishoa amesisitiza kuwa vyombo vya ulinzi havipaswi kulegeza msimamo dhidi ya yeyote anayehatarisha amani ya nchi.