Pre GE2025 Mbunge wa Covid 19 Jessica Kishoa: Wanawake wote wa nchi hii tunamuunga mkono Rais. Vyombo vya ulinzi visicheke na yeyote atakayevuruga amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika kundi la watu wasiomtaka huyu Maza wa mchongo ni wanawake.
Ukikaa Nyerere road wakisia king'ora utawasikia kazi kuzurula tu
 
Kibuyu kweli huyu… yeye atunze pesa zake vizuri october harudi bungeni..!!
 
Alifanya research saa ngapi kujua kuwa Kila mwanamke nchi hii anamuunga mkono Rais??
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani.

Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi mkuu ujao.Akichangia azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kufanikisha Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, leo Januari 31, 2025, Bungeni jijini Dodoma.

Kishoa amesisitiza kuwa vyombo vya ulinzi havipaswi kulegeza msimamo dhidi ya yeyote anayehatarisha amani ya nchi.

Hii ndio salama pekee ya covod19 wote. Ifahamike hawana nafasi yoyote ndani ya cdm ya sasa, hivyo namna pekee ni kutumia lugha itakayowapa maisha ndani ya ccm.
 
Kirusi kingine hicho. Kilienda bungeni kwa kutumia wizi leo kimeshiba kinajamba hovyo.
Nikishaona mtu anaongea kwa kuiga steps za mtu mwingine namuona mjinga sana. Naona anaongea na kuiga uongeaji wa Mdee, inaonekana Mdee ndio mjanja wake.
 
Unakuta na hili limama linaenda kanisani kabisa linatoa zaka..hovyoooo kabisa.yaani linataka liendelee kula jasho la wananchi.
 
Kauli hizi zinadhalilisha wao 19 na wanawake wenzao kukosa kuaminiwa.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani.

Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi mkuu ujao.Akichangia azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kufanikisha Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, leo Januari 31, 2025, Bungeni jijini Dodoma.

Kishoa amesisitiza kuwa vyombo vya ulinzi havipaswi kulegeza msimamo dhidi ya yeyote anayehatarisha amani ya nchi.

Yaan Kwa ajili ya masilahi yake Binafsi, anavitaka Vyombo vya Dola viendelee kuwabeba kama vilivyowabeba
 
sasa unatarajia waseme nini? licesm is what is lagging our country behind yaani mtu akiwa yeye binafsi maslahi yake yanaenda vizuri basi kwa sababu yupo katika platform ya kuzunguza ndio ufanye conclusion kwa niaba ya wote kwamba wanawake wote Tanzania wanamsapoti Rais , that is uncorrect mbona Dodoma waliamua kumpitisha bila kufuata normal procedure? si kwasababu walijua what would be the outcome.
 
Nikishaona mtu anaongea kwa kuiga steps za mtu mwingine namuona mjinga sana. Naona anaongea na kuiga uongeaji wa Mdee, inaonekana Mdee ndio mjanja wake.
Ile ni ongea ya CDM, ni kama walifunzwa kuongea hivyo
 
Aache kidomodomo, hakuna mtu anayevuruga amani ya nchi. Ni thahiri bunge likivunjwa hawa covid 19 wengi wao kama si wote watatimkia CCM maana uwepo wao CHADEMA hautakuwa na maana na watabana nafasi za wenzao wapya watakawania viti maalum vya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom