Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Huyu mbunge kakemewa na Waziri wa Afya aache uzushi kuwa kuna wagonjwa 7K wako hoi kwa Korona kwenye kambi maalumu za kuwatibu. Waziri husika kasema aache siasa
Source:The Citizen TV
Sent using Jamii Forums mobile app
Source:The Citizen TV
Sent using Jamii Forums mobile app