#COVID19 Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma atengeneza sehemu maalumu ya kupiga nyungu kwa wapiga kura wake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757

Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake.

Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!

Your browser is not able to display this video.
 
kuna chawa wa magufuli na kunguni wa magufuli.
wote wana karaha
================
asije akapiga punyeto kwenye hilo sauna
Kunguni, Chawa, Kupe, Papasi, Ndorobo, Mbung'o,Funza, Inzi Wote Wa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake

Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
 
Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake

Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
Acha upuuzi.
 
Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake

Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
Anza ww kujitenga
 
Mpaka jiwe amalize muda wake basi tutashuhudia mengi ya ajabu na ya kitoto kama haya.
Kama watu wana namna hii eti wameweza kuwa viongozi basi na mm naamini ipo siku nitakuwa rais.
 
Bas serikali impe tenda asambaze Tanzania nzima sababu akili zetu🤒
 
Mpaka jiwe amalize muda wake basi tutashuhudia mengi ya ajabu na ya kitoto kama haya.
Kama watu wana namna hii eti wameweza kuwa viongozi basi na mm naamini ipo siku nitakuwa rais.

hahaaa ukiwa Rais unikumbuke niwe makamu...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…