Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake.
Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauna/ nyunguKiwango cha uelewa wake, huwezi kumlaumu.
Nyungu/sauna ni ushirikina?Awamu zote zilipiga vita ushirikina, lakini awamu hii ya tano ushirikina unashabikiwa kweli kweli!
Kunguni, Chawa, Kupe, Papasi, Ndorobo, Mbung'o,Funza, Inzi Wote Wakuna chawa wa magufuli na kunguni wa magufuli.
wote wana karaha
================
asije akapiga punyeto kwenye hilo sauna
Acha upuuzi.Hivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake
Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
Umasikini huleta maarifa dada[emoji4]heheee, hahaaaaa Mahokaaa...mtu anaweza asiamini upotolo tunaofanya Tanzania...
Kama wako?Acha upuuzi.
Anza ww kujitengaHivi kwa nini hii nchi watu wasiruhusiwe kujitenga? Kila kabila lipewe nchi yake
Kiwango cha ujinga kwa baadhi ya makabila siyo cha level ya dunia hii. Wanatakiwa wapewe nchi yao wakae wenyewe
Huyu jamaa ni mpumbavu.Anza ww kujitenga
Mpaka jiwe amalize muda wake basi tutashuhudia mengi ya ajabu na ya kitoto kama haya.
Kama watu wana namna hii eti wameweza kuwa viongozi basi na mm naamini ipo siku nitakuwa rais.