Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mheshimiwa, Helen Adjoa Ntoso, Mbunge wa Ghana na Mwenyekiti wa Kamati ya Jinsia, Watoto na Ustawi wa Jamii katika Bunge la nchi hiyo, amepongeza nafasi ya mwanamke katika uongozi wa Tanzania kupitia Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesisitiza umuhimu wa Rais kufanya vizuri katika utekelezaji wa majukumu yake ili mafanikio ya uongozi wake yawe chachu kwa wananchi kuendelea kuwaamini wanawake katika nafasi za juu za uongozi, aidha ameeleza kufurahishwa na ukarimu alioupata tangu alipowasili Tanzania kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jijini Arusha.