Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa?
Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho?
Tena aelewe, si kila anayeshangilia kwenye ukumbi wa chama ni sauti ya Watanzania wote. Kama ana ndoto za kufundisha historia ya CCM, basi aombe ualimu, siyo kutufanya sisi wajinga wa siasa!
Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafue wakati akizungumza Bungeni leo Februari 11 amedai kuwa Wananchi wanasema kile kilichofanyika Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, Wajumbe kumpitisha Rais Samia bila kufuata Katiba yao eti amezunguka karibu Tanzania yote na Wananchi wanataka kukukutana kama walivyofanya Dodoma ili kumpitasha Rais Samia bila kupingwa.
Soma, Pia