DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani humo.
Lengo la Kikako hicho nikuwashukuru Waalimu hao kwa ushirikiano waliomuonesha kipindi chote cha miaka mitano ambacho amehudumu kama Mbunge pamoja na kuwapongeza kwakazi yao wanayoifanya yakufundisha wanafunzi wilayani humo.
Kikao hicho kimefanyika Jumamosi ya June 21, 2025 Mjini Bomang'ombe ambapo pia amewachangia kiasi cha shilingi Milioni 2 kwaajili yakununua matofali yakujenga ofisi za chama cha waalimu Hai.