Rushwa hiyo...Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani humo.
Lengo la Kikako hicho nikuwashukuru Waalimu hao kwa ushirikiano waliomuonesha kipindi chote cha miaka mitano ambacho amehudumu kama Mbunge pamoja na kuwapongeza kwakazi yao wanayoifanya yakufundisha wanafunzi wilayani humo.
Kikao hicho kimefanyika Jumamosi ya June 21, 2025 Mjini Bomang'ombe ambapo pia amewachangia kiasi cha shilingi Milioni 2 kwaajili yakununua matofali yakujenga ofisi za chama cha waalimu Hai.
Wewe college mate wako, Mimi work mate wangu. Tangu awe Mbunge hapokei simu yangu. Simuombei apite tena ili nikimpigia apokee! Ahahahahaha!!Ni college mate wangu huyu kabebwa sana na mtu fulani na aliingia bungeni kwa kisulisuli cha mwendazake. Hii kuchangia jengo la chama nyonyaji cha walimu sidhani kama ni tija. CWT imekuwa kwa muda mrefu ikitumia vyombo vya kimaamuzi kutimiza maslahi yai
Ni kajamaa kabinafsi sana. Hata sie washikaji ambao tulikuwa tunakapa madesa kanatuona hatuna maana. Kashukuru kamwili kamejaa kidogo. Kalikuwa kembamba kama mojaWewe college mate wako, Mimi work mate wangu. Tangu awe Mbunge hapokei simu yangu. Simuombei apite tena ili nikimpigia apokee! Ahahahahaha!!
Kuomba kwenda kutafuna pesa zaidi za ummaKwani muda wa kuomba kula umefka
Milioni mbili jimbo zima?Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani humo.
Lengo la Kikako hicho nikuwashukuru Waalimu hao kwa ushirikiano waliomuonesha kipindi chote cha miaka mitano ambacho amehudumu kama Mbunge pamoja na kuwapongeza kwakazi yao wanayoifanya yakufundisha wanafunzi wilayani humo.
Kikao hicho kimefanyika Jumamosi ya June 21, 2025 Mjini Bomang'ombe ambapo pia amewachangia kiasi cha shilingi Milioni 2 kwaajili yakununua matofali yakujenga ofisi za chama cha waalimu Hai.
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.Ikiwa ni dakika za lala salama kwa wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe amekutana na kufanya kikao na waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Wilayani humo.