Na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu KUTAFUTA suluhu ya muda mfupi hawawezi kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya kudumuMbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na wanahabari leo, Machi 16, 2025, jijini Dodoma, Mhe. Rubeni amesema kuwa wanaopinga mpango huo hawana uelewa wa hali halisi ya mahitaji ya nishati nchini. Amebainisha kuwa Tanzania si nchi ya kwanza kununua umeme kutoka nje, akitaja mifano ya mataifa kama Marekani, India, Afrika Kusini, na Kenya, ambayo pia hununua na kuuza umeme kwa nchi jirani kutokana na jiografia na mahitaji yao ya nishati.
Amesema kuwa mpango huu utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa maeneo yanayokabiliwa na changamoto za nishati na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Ameleta maendeleo sana handeni nilipita nikajua nipo dar.Mbunge mpumbavu kama huyu hata ukiwambia aue mzazi wake mradi aendelee kuwa Mbunge atafanya chapa sn
Kwani lazima kila kitu tujilinganishe na marekani?Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na wanahabari leo, Machi 16, 2025, jijini Dodoma, Mhe. Rubeni amesema kuwa wanaopinga mpango huo hawana uelewa wa hali halisi ya mahitaji ya nishati nchini. Amebainisha kuwa Tanzania si nchi ya kwanza kununua umeme kutoka nje, akitaja mifano ya mataifa kama Marekani, India, Afrika Kusini, na Kenya, ambayo pia hununua na kuuza umeme kwa nchi jirani kutokana na jiografia na mahitaji yao ya nishati.
Amesema kuwa mpango huu utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa maeneo yanayokabiliwa na changamoto za nishati na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Labda maendeleo ya kujaza waganga/washirikina HandeniAmeleta maendeleo sana handeni nilipita nikajua nipo dar.
sasa unapokuwa na wabunge wajinga kama hawa unategemea nini?Kwani lazima kila kitu tujilinganishe na marekani?
Barabara za lami, hospital, umeme nk.Labda maendeleo ya kujaza waganga/washirikina Handeni
Kwani Handeni hakuna DC/DAS/DED/Mwenyekiti wa council na kodi hawalipi isipokuwa Mbunge ndiyo kaleta?Barabara za lami, hospital, umeme nk.
Japo Mkoa wa Tanga tuna mawaziri wa kutoshaAnatengeneza profile yake hapo, kila la kheri kwake! 😄
Akili kisoda..... Harudi aache kujipendekezaMbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.