Hakuna akili mbovu kama kuiga kila kitu kutoka au kujifananisha na Marekani, kwanini asifikirie kufanya jambo jipya la kuigwa na MarekaniMbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na wanahabari leo, Machi 16, 2025, jijini Dodoma, Mhe. Rubeni amesema kuwa wanaopinga mpango huo hawana uelewa wa hali halisi ya mahitaji ya nishati nchini. Amebainisha kuwa Tanzania si nchi ya kwanza kununua umeme kutoka nje, akitaja mifano ya mataifa kama Marekani, India, Afrika Kusini, na Kenya, ambayo pia hununua na kuuza umeme kwa nchi jirani kutokana na jiografia na mahitaji yao ya nishati.
Amesema kuwa mpango huu utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa maeneo yanayokabiliwa na changamoto za nishati na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Wanasiasa waliopo madalakani hawafai kusikilizwa, sasa hivi wanajikomba Ili majina Yao yasikatwe na kamati kuu ya chama chao.Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme.
Akizungumza na wanahabari leo, Machi 16, 2025, jijini Dodoma, Mhe. Rubeni amesema kuwa wanaopinga mpango huo hawana uelewa wa hali halisi ya mahitaji ya nishati nchini. Amebainisha kuwa Tanzania si nchi ya kwanza kununua umeme kutoka nje, akitaja mifano ya mataifa kama Marekani, India, Afrika Kusini, na Kenya, ambayo pia hununua na kuuza umeme kwa nchi jirani kutokana na jiografia na mahitaji yao ya nishati.
Amesema kuwa mpango huu utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa maeneo yanayokabiliwa na changamoto za nishati na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Halafu anayeongea namna hiyo anajua Kanda ya Kaskazini kuna vyanzo vitatu vikubwa vya umeme. Kuna nyumba ya Mungu, Hale na maporomoya pangani karibu na Amboni. Kwanini hawayataki vyanzo hivi wanataka vya Ethiopia?! Hawa watu wanashida gani?!Awachangangishe watu wa Handeni kama watakubali.
Wanataka kupiga tu hakuna lingine.Halafu anayeongea namna hiyo anajua Kanda ya Kaskazini kuna vyanzo vitatu vikubwa vya umeme. Kuna nyumba ya Mungu, Hale na maporomoya pangani karibu na Amboni. Kwanini hawayataki vyanzo hivi wanataka vya Ethiopia?! Hawa watu wanashida gani?!