Mbunge wa Jimbo la Chakechake

Mbunge wa Jimbo la Chakechake

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mhe. Ramadhan Suleiman Rmadhani, Mbunge wa Jimbo la Chakechake

"Hadi sasa hakuna ubishi kwamba yapo maamuzi ya Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara (FCT) kwenye kuzui mchakato wa Twiga Cement na Tanga Cement kuungana, sasa unapata wapi nguvu ya kupindua maamuzi ya mahakama?

Maamuzi ya mahakama yanapingwa kwa vitu viwili tu, aidha kwa kukata rufaa mahakama ya juu au kuomba mahakama ipitie maamuzi yake kama ilikosea au la, lakini haya yote hayakufanyika" Ramadhan Suleiman Ramadhan, Mbunge wa Jimbo la ChakeChake.

FvTIbLEWAAAK0bv.jpg
 
Back
Top Bottom