njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hujasema uongo ndugu yetu. Mheshimiwa kiswaga ni muungwana aliwaahidi dust bins 2 wakampa kura na katimiza ahadi, ni maendeleo uchafu utakuwa hautupwi hovyohovyo tena.Mkuu is dust bin a development?
Au nasema uongo ndugu zangu?
Keshamalizana na hicho kijiji hawamdai kitu kura zao zimeenda kihalali si unaona kwenye picha wanavyofurahi?kazi imeisha hapo tayari.
sasa anaruhusiswa kwenda kukaa Dar mpaka 2025 kwakuwa ameshatekeleza ahadi yake kuu kwa wananchi.
Sio kijiji tu, jimbo zima limesharidhika na utekelezaji wa ahadi.keshamalizana na hicho kijiji hawamdai kitu kura zao zimeenda kihalali si unaona kwenye picha wanavyofurahi?
Mkuu mpaka karne hii huku kusini kwa jangwa la sahara bado tunazungumzia swala la kutupa takataka hovyo na kuziweka mahali sahihi nayo ni maendeleo.hujasema uongo ndugu yetu,mheshimiwa kiswaga ni muungwana aliwaahidi dust bins 2 wakampa kura na katimiza ahadi,ni maendeleo uchafu utakuwa hautupwi hovyohovyo tena
TeteteteteKazi imeisha hapo tayari.
Sasa anaruhusiswa kwenda kukaa Dar mpaka 2025 kwakuwa ameshatekeleza ahadi yake kuu kwa wananchi.
Hawa ni watawala mkuu siyo viongoziMkuu mpaka karne hii huku kusini kwa jangwa la sahara bado tunazungumzia swala la kutupa takataka hovyo na kuziweka mahali sahihi nayo ni maendeleao
Nchi ya uchumi wa kati kazi tunayo
kazi imeisha hapo tayari.
sasa anaruhusiswa kwenda kukaa Dar mpaka 2025 kwakuwa ameshatekeleza ahadi yake kuu kwa wananchi.