Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 429
- 782
Mitano tena. tuliahidi tumetekeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi.
Huko jimbo la Kalenga mbunge Kiswaga ametimiza ahadi yake ya kutoa Dustbins mbili (2) kwenye zahanati na baada ya tukio hilo la kihistoria, picha ya pamoja ilipigwa huku mwananchi mmoja kwa furaha akitoa ishara ya dole gumba akimaanisha mambo ni fayaaaa.
Hongera sana Mbunge. Endelea kuchapa kazi babaaa!
Tunatarajia kuendelea kuona press releases nyingi za CCM kama hizi wakati ukiwa unaendelea kutumiza ahadi zako, hao ushamalizana nao hawakudai kura zao hazikupotea bure. On to the next one, please!
Akili yako ndogo! Hata kama ni dustbin 20, bado ni akili ya mdudu kuahidiwa kitu kama hicho na Mbunge. Huyo mbunge mwenyewe atakuwa wa kupiga makofi tu!we kunguni umesoma hiyo press release? Ccm iringa wamesema katoa dust bins 2 kutimiza ahadi ya campaign, jinga .
Katekeleza ahadi acha wivuAkili yako ndogo! Hata kama ni dustbin 20, bado ni akili ya mdudu kuahidiwa kitu kama hicho na Mbunge. Huyo mbunge mwenyewe atakuwa wa kupiga makofi tu!
Kweli CCM wanajua kujitoa ufahamu,yaani macho makavu kabisaaaaa na kuita waandishi wa habari kukabidhi dust bin mbili? Kudadadeq walahi!!!!!Mlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi.
Huko jimbo la Kalenga mbunge Kiswaga ametimiza ahadi yake ya kutoa Dustbins mbili (2) kwenye zahanati na baada ya tukio hilo la kihistoria, picha ya pamoja ilipigwa huku mwananchi mmoja kwa furaha akitoa ishara ya dole gumba akimaanisha mambo ni fayaaaa.
Hongera sana Mbunge. Endelea kuchapa kazi babaaa!
Tunatarajia kuendelea kuona press releases nyingi za CCM kama hizi wakati ukiwa unaendelea kutumiza ahadi zako, hao ushamalizana nao hawakudai kura zao hazikupotea bure. On to the next one, please!
hahaha tz banaMlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi.