Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga atimiza ahadi ya kampeni kwa kukabidhi "dustbin" mbili Zahanati ya Kijiji cha Kaning'ombe

Hicho kijiji kipo mkoa gani maana huwa tunaambiwa sisi watu wa pwani wavivu hatupendi maendeleo wakati watu wanaweka mpaka dole gumba kwa kupewa dustbin
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maendeleo ya dustbin [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] [emoji1005] [emoji706] kwa ustawi wa Tanzania na watu wake
 
we kunguni umesoma hiyo press release? Ccm iringa wamesema katoa dust bins 2 kutimiza ahadi ya campaign, jinga .
Akili yako ndogo! Hata kama ni dustbin 20, bado ni akili ya mdudu kuahidiwa kitu kama hicho na Mbunge. Huyo mbunge mwenyewe atakuwa wa kupiga makofi tu!
 
Kama ndiyo ahadi aliyotoa na akapewa kura kwa ahadi hiyo, basi, sasa ametekeleza 100% (kama wananchi hawakujua dustbin ni nini then ni ujinga wao) Ila kama walijua (na labda lilikuwa ndilo hitaji lao) then Very good Mbunge!
 
Akili yako ndogo! Hata kama ni dustbin 20, bado ni akili ya mdudu kuahidiwa kitu kama hicho na Mbunge. Huyo mbunge mwenyewe atakuwa wa kupiga makofi tu!
Katekeleza ahadi acha wivu
 
Kweli CCM wanajua kujitoa ufahamu,yaani macho makavu kabisaaaaa na kuita waandishi wa habari kukabidhi dust bin mbili? Kudadadeq walahi!!!!!
 
Tunasubiri ahadi ya Gwajiiiiiimaaaa kupeleka maelfu ya vijana Marekani
Awamu ya uongo na ulaghai
 
hahaha tz bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…