Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
MBUNGE wa Jimbo la Kalenga anayemaliza muda wake Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula kwa Watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Watoto yatima Tosamaganga kilichopo katika Halmashauri ya wilaya ya Iringa kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za kituo hicho chenye Watoto yatima 150 kwenye jukumu la malezi ya watoto hao.
Jackson Kiswaga ametoa msaada huo leo Tarehe 1 Julai 2025.
Jackson Kiswaga ametoa msaada huo leo Tarehe 1 Julai 2025.