Mbunge wa Jimbo la Kilombero

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Tafadhali wana JF naomba kwa yeyote mwenye taarifa za mbunge wa jimbo la Kilombero.Sababu sijapata kusikia akichangia hoja yoyote kutoka kwake.Au labda yuko nje ya nchi masomoni.
 
Huyu jamaa inawezekana ni bubu,hajui kuongea, anadai huwa anachangia kwa maandishi. Hata kwenye kampeni zake alikuwa anasema "nyie nichagueni tu,kila kitu ntamaliza. Kwanza c mbunge wa kilombero,ni mbunge wa ccm. Cc tulimchagua dada Regia Mtema. Kuna ushahidi kuwa hata mademu huwa anatongozewa. Huyu bwana ndo mbunge mzigo kuliko wote bumgeni. Afadhali hata john komba
 
Kwa kuwa alimchakachua KURA ZAKE dada yetu kipenzi jimboni REGIA MTEMA a.k.a JEMBE....Regia Mtema amemchakachua Mbunge huyo Mjengoni
Amekuwa viti maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…