Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Kweli binadamu ni mnyama., ni vile tu ako na miguu miwili instead of four na akakosa mkia
 
Upinzani ukifa, Watanzania hatuko salama, uhai wa CCM unategemea uimara wa upinzani, watanzania mjue hilo
 
Watu kama hawa ndo wanafaa kutengwa na jamii kabisa maana haiingii akilini mtu kuacha nafasi husika kisha unaenda upande wa pili unagombea nafasi hiyohiyo, haya ndo ya akina mbunge wa kipuuzi kabisa wa ukonga jana kajiuzulu chadema leo anachukua fomu ya kugombea ubunge huohuo kama sio kuchezea watu akili na kupoteza kodi za watanzani.
 
😆😆😆😆
 
Ni wakati wako Humphrey Polepole kumnasua kalanga na madeni
 
Polepole tulikuonya ukatupuuza , sasa utavuna ulichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…