ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sawa tuu nyie endeleeni kupiga Domo la DP World 😁😁Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga.
Taarifa zinaonyesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi tu yeye hakutaka kununua gari la kuandika jina lake kama alivyofanya Musukuma, bali yeye ameamua kugawa nyama ya ng'ombe kila kijiji, ambako kijiji kimoja kimeambulia ng'ombe kubwa mbili.
Ikumbukwe kwamba Jimbo la Msalala lina kata 18, ambapo kila kata ina vijiji 6, unadhani wabunge walioenda kule walilipwa bei gani kila mmoja na kwanini walipwe vitita vyote hivyo?
Toa Maoni yako.
Harafu Kwa taarifa Yako Rais alitoa hao Ng'ombe sio huko Msalala tuu na maeneo mengine mengi tuu.