King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Naangalia Citizen wameelezea story yote,karibu na crime scene kwa juu kuna surveillance camera(CCTV),nadhani wataanza nazo kuangalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morio, what was the relationship like between this guy and one Atwoli?
Yah, hii inakuja Dar muda si mrefu... watu wanaadvance sasa na wataanza kula vichwa vya haohao wanasiasa
I don't think his beef with Atwoli can get this far, some eye witness claims the shooter took off with a briefcase from the car.
I believe the security cameras all over city will help mitigate these kind of stuffs,
Okay,but the perpatrators came masked.
I believe the security cameras all over city will help mitigate these kind of stuffs,
kutoka gari ndogo aina ya toyota pro-box na kutokomea kusikojulikana akitumia gari hilo lililokuwa limefichwa namba zake
Walinzi wawili na bastola zao wote wanatembea kwenye gari moja na mheshimiwa? Bad tactics
Walinzi wawili na bastola zao wote wanatembea kwenye gari moja na mheshimiwa? Bad tactics
assassination haina ujanja ndugu !
Rip kabet
Kwanza, huyu alikuwa mbunge wa mrengo upi? Jubilee au CORD?