Huyu Bashungwa hua anajiskia sana, anapenda sifa na umaarufu labda anafkiri JPM anaweza kumchagua / kumpatia uwaziri
Lakin shida inakuja pale mbunge wa jimbo masikini sana Kama Karagwe anapokua tozi, ameishi nje ya nchi, anaishi Kama nusu peponi huko nyumbani kwake mbweni na karagwe anakwenda tu kikazi
Wana Karagwe msimu unaofuata mtafute mbunge anaetokea hapo Karagwe labda atasaidia kuwasilisha matatizo yenu inavyopaswa hawa wanaokuja kutafutia utajiri kwa migongo ya wananchi masikini tuwachane nao
Matatizo ya Karagwe ni mengi sana ukianza kutaja hapa huwezi kumaliza na wala huwezi sikia huyo Bashungwa akiyataja bungeni
TUAMKE