Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Ni vema matatizo haya yakashughulikiwa kwa karibu maana hizi kauli za viongozi wa juu zinaweza tumiwa vibaya, serikali ichunguze na kuhakikisha kuwa waliohusika wanakamatwa hata kama wamo ndani ya serikali.
 
Pole sana muheshimiwa,
nchi imekaa vibaya sana hii
ukiona kundi la watu kama una wasiwasi nao ni vema ukaanza.
 
Hiyo itakua ilipangwa ili asiwe bungeni wakati taarifa ya serikali kuhusu gharama za visimbusi inawakilishwa asikuwepo kuhoji.Spika anatoa report ati kaavamiwa na majambazi,mmmm CCM wamekua majambazi sasa
 
pole kijana ndo Tz yetu kua makini c juz tu umeomba radhi au hawajaridhia
 
Hii thread ipo toka jana, ilipandishwa na mdau mwingine, na ina comments nyingi tu!
 
Juzi alimwambia mwenyekiti wa bunge Jenista Muhagama aache kupayuka!
 
Kama sio Green Guards basi ni Polisi au Usalama wa Taifa. Nipo tulipofikia katika nchi hii.
 
Huyu Mbunge ni mbishi ana kiburi cha kujifanya anajua na ujuaji. Kujiamini sana hadi uswazi ni noma wengine hawakutambui. Tena bahati hawakujua wewe ni mbunge ungepigwa sana maana ubunge wenu mmeufanya ni sehemu ya kuhalalisha dhuluma dhidi ya wananchi.

mkuu elewa kwamba hizo ni njama na wala sio kwamba imetokea bila kupangwa jiulize ni wangapi wanapita na magari kwenye hiyo barabara kwa nini wasipigwe
 
matokeo ya majibu ya pinda jana bungeni ndo wameanza kazi sasa
 
Back
Top Bottom