Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

We wa kike ama wa kiume? Unakua na Maneno ya uongo mbona? wote tulimsikia alisema ''Kwa vile CCM na CDM wanatupiana mpira! Kwa nini Msajiri asivifute vyama hivi?'' mbona CCM hujaihusisha? Unagongwa nini?

Acha kumjibu huyu Hamy-D utakula ban ya bure.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwa tathimini yangu ndogo, nashawishika kuwa kutekwa na hatimaye kupigwa kwa Mh. Machali ni utekelezaji ya kauli ya Waziri mkuu.

Ikumbukwe alitamka bila kung'ata maneno, CCM ifutwe!
 
Back
Top Bottom