Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima acha Unafiki tafadhali. Hizi Sifa unazompa Rais Samia kuhusu Royal Tour yake ni za Kumsanifu na Kumdharau pia

Kwa akili za matope wanafikiri Gwajima anaogopa maamuzi ya chama.
Kasikilize clip zake alishasema hamuogopi mtu yeyote,Yuko tayari kwa maamuzi yoyote na hataomba msamaha.Wewe unapoteza muda.

Huyohuyo Samia unayemsema ndo alisikiliza ombi la Gwajima kujengewa shule Kawe kamuzuie Basi.
Kwa akili zako unafikiri rais anaushawishi mkubwa nchini hata akitengeneza maadui atatoboa.
Kuwashawishi tu watu kuchanjwa imekuwa ngumu watu wanapinga hadharani hawachanjwi.

Ulitaka Gwajima apinge Kila kitu? roho mbaya yako ya kumchukia Gwajima haitakusaidia.
 
Wajinga ninyi.
Nyie ndio mlikuwa mnaambiwa kuacha mavi yenu nyumbani.
 
Wanazi wa Samia ndani ya chama hawataki kukileta chama pamoja,wanataka wafaidi wao tu.
 
Umekiri kuwa alilelewa vyema na Magufuli sasa huyo si ndio anamfaa zaidi Mama;
au umesikia JPM na mama walikuwa maadui? Wewe ni zaidi ya mnafiki ambaye umediriki hadi kuwavuta Waislamu ili wakusaidie katika vita yako dhidi ya Gwajima.

Mbona wewe hujasifia hiyo Royal tour?
 
Eti unamjua asilimia 75 unahacha kujua yako yanayokushinda unajua ya wengine.Kuwa busy na Mambo yako ukiyaacha ukadeal ya na gwaj boy yako unamwachia Nani? Hacha kufeli
 
Ukiwa Kilaza huwez kumwelewa Gwajima.



Alipokua Bungen, hakusema watu wasichanjwe badala yake alisema anaishauri Serikal ipime.........



Anapokua kanisani , anaongea kama kiongozi wa kidini kwenda kwa waumini wakee...nikm Papa anavyoongea kwenda kwa waumini wake kua wachanjwe.

Anapokua Nje ya hayo mawili. Ni mbunge na Raia, ivo basi anabakia kua katikat ya wa nawanaochanja au wasichanjwe yaan anakua na serikali "Ni hiyari"

Na kwakua ni Hiyari, mwenye akili hawezi kuongelea msimamo wake wa kiimani mbele ya hadhara, sana sana kama angeongea angerud tena kuishauri serikali kama anavyoishauri Akiwa bungeni.





Rais Alipouliza wananchi...Bila shaka jibu aliliapata kwa wananchi...wengine wakasema wachanjwe, wengine wakakataa.


Ukitaka kujua msimamo wa Gwajima, muombe Rais aendee kanisan kwa Gwajima. Alafu aulize, tunachanja???? Hatuchanji????

Ndo utajua Gwajima ana akili.




Niridi kwenye mada ya mtoa mada !!!


Ulikuwepo wakati Gwajima anaenda kwa Jiwe amuambie asimshirikishe makamo??...Gwajima alikua nani kiasi cha kua nanguvu hizo???.

Ikiwa niivo, Jiwe alishindwa nn kuachana na Mama ???



MIMI NAONA MTOA MADA, UMETUMWA NA ALOSEMA " MKE WA YESU" .


SOMO LA LEO LIMEWAINGIA SANA...

Kile kisa cha Kipofu ambaye watu hawakutana akutane na Yesu ,yule kipofu akaendelea kupaza sauti..mpaka yesu akamsikia, akaamuru msafara usimame na wamulete Kipofu. Kisha akamponya ...


Alimaanisha hivi...

Spika na wabunge wasompenda, walipiga kelele sana ili Gwajima aonekane hafai ni mbaya

Ila yeye akaendelea kupaza sauti sanaaa. Mpaka siku Mama anapita Jimbon kwake, akaamua kusimamisha msafara. Ili Aonane na Gwaajima, na akupa nafasi Gwajima........


Sasa wale wale akina Spika na wenzake mtaanza kurudi kujipendekeza pendekeza kwa Mama.


JIBUNI HOJA ZA GWAJIMA, ACHENI JANJA JANJA.
 
WaTanzania hamkosagi cha kuongea,kama ulivyoona Gwaji kaongea na wewe vivyo hivyo hujatakaa kukaa kimya. Wabongo wengi kazi yenu ni kuponda na kuongea tu muda wote wala usije dhani hata wewe uko sawa hapana
 
Kweni Rais alisimama pale ili waongelee chanjo?

Ngozi nyeusi tuna shida kubwa sana
 
Kuna watu Gwajima anawanyima usingizi kabisa na hamna wa kumwekea spidi gavana...anaendelea kuupiga mwingi kwa kasi ya hatari🤣
 
mkuu mbona umeandika kama GENTAMECY? HIVI KWANI NI KINA NANI WANA HAKI YA KUMSIFIA RAIS?
 
Hili igizo wachache tulilishitukia wengine endeleeni kulifuatilia mpoteze focus kwenye masuala ya msingi
 
Ujue shetani anaweza kukutumia kama game video bila wewe kujua kwani yote anayosema kajman yapo ndani ya uwezo wake akiomba yatokee, ni hivi akifunga mbingu zinafunga na akifungua na mbingu zinafungua kama hujui,
 
Ishu zake za chanjo ni kanisani, sio kwenye majukwaa ya siasa
 
Wewe mnafiki mwabudu sanamu huna lakumfanya Gwajima hata Rais anajua nguvu ya Gwajima baki kuota ndoto tu huna maana! Badala ya kujadili hoja unakuja na maneno ya fitina! Unafikiri Rais ni Mungu hawexi kukosolewa? Jipanbe Gwajima sio level yako!
 
Gentamycin, Gentamycin, Gentamycine unachokitafuta utakipata tu
 
Toka.misingi ya taifa hii ijengwe sijawahi ona mtu anayachezea makalio ya serikali kama.huyu bwana naona huko anapoelekea atataka kupenyeza sh 50 kwenye mstari unaogawa makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…