ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Binafsi nimempongeza kwa kuliona hili.
Gwajima hajui kitu kuhusu ugaidi atulie tu mashekhe waonje hatma yaoMimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma yao.
_
Aidha, Gwajima amesema haoni sababu ya Masheikh wa UAMSHO kuendelea kusota Mahabusu kwa miaka 9 bila kujua hatma yao
_
"Kuna Masheikh wa Uamsho wapo Mahabusu mwaka wa 9 sasa, hebu imajini ni Baba yako anasota Mahabusu kwa miaka 9 bila kujua atahukumiwa lini na vipi ikibainika hawana hatia mtawalipa nini?. Simaanishi hawana hatia au wanayo nashauri ni vyema wahukumiwe wajue moja.
_
Arusha kuna Masheikh 64 wanasota Mahabusu kwa kesi ya Ugaidi, najiuliza hivi hii nchi Magaidi ni Masheikh tu !! Hakuna watu wengine"-Josephat Gwajima.
Ahsante Gwajima kwa kuliona hili.
Safi sana askofu rashidiMbunge wa Jimbo la Kawe, Mchungaji Dkt. Josephat Gwajima, amesema, kuna idadi kubwa ya watu wako mahabusu kutokana na suala la utakatishaji wa fedha ambao wako waliobambikiziwa kosa hilo na watumishi wasio waaminifu wa vyombo vya dola na kuomba suala hilo liangaliwe kwa kina.
"Kuna watu wengi sana Naibu Spika wako ndani, wako mahabusu maelfu ya watu kwa sababu ya hili suala la utakatishaji fedha kubambikiziwa na watu wasio waaminifu katika vyombo vyetu vya Dola"
"Mpaka leo kwa mujibu wa takwimu kuna watu 1,701 ambao wako mahabusu kwa sababu ya ama kwa ajili ya utakatishaji fedha Money laundering au kwa sababu ya uhujumu uchumi"
"Unakuta mtu anakwenda kwa mfanyabiashara kukusanya mapato au kudai mapato au malimbikizo ya mapato anakwenda na 'charge' kabisa kwamba usiponipa fedha kadhaa tayari nina hati hii hapa nakuwekea Money laundering au nakuwekea Economic Sabotage"
"Haileti "sense" kwanini wale Masheikh wa uamsho wako ndani mpaka leo, leo ni miaka 9. Najaribu kuwaza ingekuwa mimi, Baba au ndugu yangu ambaye ambaye mpaka leo miaka 9 yupo ndani, itakuwaje baada ya miaka 20 mkagundua hawana hatia mtawalipa nini kwa miaka waliyopoteza"
"Nashangaa kwanini Masheikh tu ndio wako ndani kwa kesi za ugaidi, hakuna gaidi mwingine ambaye sio sheikh, naomba tuangalie kwa undani sana namna ya ku-handle suala hili, sisemi wana hatia au hawana hatia, sijadili kosa lao lakini basi wangehukumiwa ikajulikana"
Gwajima mara hii kasha sahau viongozi wenzake (wakristo) waliokuwa wakipigwa risasi, makanisa kuchomwa na kutupiwa mabomu Zanzibar, Arusha, Dar, Kagera, nakadhalikaMbunge wa Jimbo la Kawe, Mchungaji Dkt. Josephat Gwajima, amesema, kuna idadi kubwa ya watu wako mahabusu kutokana na suala la utakatishaji wa fedha ambao wako waliobambikiziwa kosa hilo na watumishi wasio waaminifu wa vyombo vya dola na kuomba suala hilo liangaliwe kwa kina.
"Kuna watu wengi sana Naibu Spika wako ndani, wako mahabusu maelfu ya watu kwa sababu ya hili suala la utakatishaji fedha kubambikiziwa na watu wasio waaminifu katika vyombo vyetu vya Dola"
"Mpaka leo kwa mujibu wa takwimu kuna watu 1,701 ambao wako mahabusu kwa sababu ya ama kwa ajili ya utakatishaji fedha Money laundering au kwa sababu ya uhujumu uchumi"
"Unakuta mtu anakwenda kwa mfanyabiashara kukusanya mapato au kudai mapato au malimbikizo ya mapato anakwenda na 'charge' kabisa kwamba usiponipa fedha kadhaa tayari nina hati hii hapa nakuwekea Money laundering au nakuwekea Economic Sabotage"
"Haileti "sense" kwanini wale Masheikh wa uamsho wako ndani mpaka leo, leo ni miaka 9. Najaribu kuwaza ingekuwa mimi, Baba au ndugu yangu ambaye ambaye mpaka leo miaka 9 yupo ndani, itakuwaje baada ya miaka 20 mkagundua hawana hatia mtawalipa nini kwa miaka waliyopoteza"
"Nashangaa kwanini Masheikh tu ndio wako ndani kwa kesi za ugaidi, hakuna gaidi mwingine ambaye sio sheikh, naomba tuangalie kwa undani sana namna ya ku-handle suala hili, sisemi wana hatia au hawana hatia, sijadili kosa lao lakini basi wangehukumiwa ikajulikana"
Gwajima mara hii kasha sahau viongozi wenzake (wakristo) waliokuwa wakipigwa risasi, makanisa kuchomwa na kutupiwa mabomu Zanzibar, Arusha, Dar, Kagera, nakadhalika
..Nireteeni Gwa-jiMA.
..Nireteeni Gwa-jiMA.
..NIRETEENI GWA-JIMA!!!!
Mhh. Kwahiyo hao masheikh walihusika kwa namna moja au nyingine?Gwajima mara hii kasha sahau viongozi wenzake (wakristo) waliokuwa wakipigwa risasi, makanisa kuchomwa na kutupiwa mabomu Zanzibar, Arusha, Dar, Kagera, nakadhalika