Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

Gwajima mara hii kasha sahau viongozi wenzake (wakristo) waliokuwa wakipigwa risasi, makanisa kuchomwa na kutupiwa mabomu Zanzibar, Arusha, Dar, Kagera, nakadhalika
Hana anachokijua anabwatuka tu.......
 
Lakini pia amegusia kitu kimoja muhimu sana.....kama wana hatia wahukumiwe ili ijulikane....kuliko kuwakalisha mahabusu tu..
 
..huenda Mama anajiandaa kuwaachia Mashekhe.

..Gwajima ametumwa tu kusafisha njia.
Akifanya hivyo basi atakuwa amefanya kosa kubwa la kimkakati (kisiasa, kiulinzi, nakadhalika)

Kwa kuwaachia atawake mahali pagumu CCM Zanzibar na Hussein Mwinyi

Muungano, Utulivu, Uhuru wa wakristo wa Zanzibar navyo vitakuwa mashakani
 
Kuchelewesha kwa makusudi kumtendea mtu haki ni sawa kabisa na kumpora haki yake. Uchunguzi wa shauri la kisheria kuchukua miaka 9 pasipo kusikilizwa ni jambo la kusikitisha mno, hata kama hao masheikh walitenda makosa wanayotuhimiwa nayo.
 
Akifanya hivyo basi atakuwa amefanya kosa kubwa la kimkakati (kisiasa, kiulinzi, nakadhalika)

Kwa kuwaachia atawake mahali pagumu CCM Zanzibar na Hussein Mwinyi

Muungano, Utulivu, Uhuru wa wakristo wa Zanzibar navyo vitakuwa mashakani
Unataka wakae ndani daima milele.?
 
Akifanya hivyo basi atakuwa amefanya kosa kubwa la kimkakati (kisiasa, kiulinzi, nakadhalika)

Kwa kuwaachia atawake mahali pagumu CCM Zanzibar na Hussein Mwinyi

Muungano, Utulivu, Uhuru wa wakristo wa Zanzibar navyo vitakuwa mashakani
Duuu ,ungetupa kwa undani maana huko zenji wanataka waachiwe !
 
hayo mahubiri yanapatikana wapi?
 
Akifanya hivyo basi atakuwa amefanya kosa kubwa la kimkakati (kisiasa, kiulinzi, nakadhalika)

Kwa kuwaachia atawake mahali pagumu CCM Zanzibar na Hussein Mwinyi

Muungano, Utulivu, Uhuru wa wakristo wa Zanzibar navyo vitakuwa mashakani

..Sidhani.

..Lazima tutendeane HAKI na tusikilizane wakati wote.

..Kila mmoja wetu amheshimu na amthamini mwenzake.
 
Biashara ya WANACCM sahizi ni Kama ile ya kuuza vinyonga tuu,mteja anapokuambia niletee kinyonga Mweusi unakuta vinyonga wako wote wekundu🤣🤣🤣
 
Ukiiangalia speech yake inaonekana kaandaliwa na anaitumia kupata kukubalika miongoni mwa jamii filani kama ilivyokuwa kwenye mikutano ya kampeni jamaa mmoja aitwaye KATIBA naye alikuwa anamlisha maneno kama hayo mhombea mmoja wa upinzani

Poleni familia za mapadre, mashehe, wataliii , maaskari na watu mbalimali waliomwagiwa tindikali/ kuuawa wakati huo visiwani

Poleni sana ndugu wa waathirika wa mabomu kwenye mikutano ya kisiasa huko arusha (kabla ya kuundwa kwa ukawa)

Poleni waanini wakatoliki wa olasiti arusha akiwemo balozi wa papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…