Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nitashangaa iwapo watamuwekea vikwazo ili hali Rage aliwahi kuwa mbunge wa Tabora mjini kwa ticket ya CCM na wakati huo huo akiwa ni mwenyekiti wa club ya Simba.Wacha tuone
Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wanaendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa kugombea uraisi wa Shirikisho la Mpira Nchini(TFF) kama ambavyo mwanasiasa mwenzake wa upinzani,Tundu Lissu alivyojitosa na hatimae kushinda uraisi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) hivi karibuni.
Habari ya Zitto kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi wa TFF imeripotiwa katika gazeti la MwanaSport la siku ya leo.
Swali ni je,zile figisufigisu za kisiasa alizofanyiwa Lissu wakati anataka kugombea uraisi wa TLS tutaziona tena kwa Zitto?
Tusubiri.
Acha ushabiki wa kijinga.Wacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.
SImba ni timu ya hovyo
Ccm wote tu ni career politicians ata sio nape peke tena kwene uongo hapo ndo ccm nawakubaliZito Kabwe kama Nape Nnauye ni career Politicians, hakuna kitu wanajua zaidi ya
Uongo, Fitina na Majungu, wameishi maisha yao yote hivyo na wamefikia hapo walipofikia kwa njia hiyo hivyo hakuna jipya na hawawezi kuacha!
bora wajaribu kua rais wa vitu tofauti kuliko kuendelea na ndoto hewa kua rais wa jamhuri.Naona wanasiasa, hasa wa vyama vya upinzani, wakiendelea kujiimarisha katika anga zingine mbali na siasa na safari hii mwanasiasa mwingine wa upinzani, Zitto Zuberi Kabwe nae anatajwa kujitosa kugombea uraisi wa Shirikisho la Mpira Nchini(TFF) kama ambavyo mwanasiasa mwenzake wa upinzani,Tundu Lissu alivyojitosa na hatimae kushinda uraisi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) hivi karibuni.
Habari ya Zitto kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi wa TFF imeripotiwa katika gazeti la MwanaSport la siku ya leo.
Swali ni je,zile figisufigisu za kisiasa alizofanyiwa Lissu wakati anataka kugombea uraisi wa TLS tutaziona tena kwa Zitto?
Tusubiri.
Uwezo wako wa kuona mbali ni mdogo!bora wajaribu kua rais wa vitu tofauti kuliko kuendelea na ndoto hewa kua rais wa jamhuri.
Ungeyasema hayo ya nape wakati abapuliza vuvuzela wakati anatoa mapovu ya kumwombea kura huyu mwenye rungu ungeaminika!Zito Kabwe kama Nape Nnauye ni career Politicians, hakuna kitu wanajua zaidi ya
Uongo, Fitina na Majungu, wameishi maisha yao yote hivyo na wamefikia hapo walipofikia kwa njia hiyo hivyo hakuna jipya na hawawezi kuacha!
Labda kuisaidia simba ila sio soccerKwa Zitto Zuber naunga mkono kugombea, anaweza kutusaidia.