255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Hakika hata mm nitashangaa
Nitashangaa iwapo watamuwekea vikwazo ili hali Rage aliwahi kuwa mbunge wa Tabora mjini kwa ticket ya CCM na wakati huo huo akiwa ni mwenyekiti wa club ya Simba.