Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ajitosa urais wa TFF

Zitto ni mwanamichezo mahiri shabiki na mwanachama hai wa Simba mpeni kura aongoze TFF . Malinzi is an opportunist.
 
Zito Kabwe kama Nape Nnauye ni career Politicians, hakuna kitu wanajua zaidi ya
Uongo, Fitina na Majungu, wameishi maisha yao yote hivyo na wamefikia hapo walipofikia kwa njia hiyo hivyo hakuna jipya na hawawezi kuacha!

na wa mbowe...kumuita mtu fisadi miaka 8 na kumsafisha kwa siku moja!!
 
Wacha aje kuisaidia Simba Koko kupata points za mezani.

SImba ni timu ya hovyo

Daah.. Aveva & co mnaona mnavyosababisha tutukanwe hivi..? Mmeshindwa kuiongoza simba kufanya vizuri uwanjani na sasa mnalazimisha ushindi kwa njia haramu..! Fitina za mpira hamzijui, matokeo yake ni kuja kuinajisi tasnia nzima ya mpira wa miguu..
Shame on u..
 
Tuweke itikadi za uchama pembeni, na mpira unaunganisha watu wa mirengo yote,hivyo kwangu Mimi Namuunga mkono Anaweza kulisaidia Soka letu
 
na wa mbowe...kumuita mtu fisadi miaka 8 na kumsafisha kwa siku moja!!
Walioitwa mafisadi miaka hiyo 8 ni wangapi?
Kina nani?
Wako wapi?
Nani kawasafisha?
Kwa nn hawakamatwi?

Ndo tatizo la nyumbu wa lumumba yaani wamekatazwa kufikiri kwa kutumia vichwa bali wameelekezwa kutumia makalio....si unaona wanaitwa na chama wanakatazwa kuisimamia serikali chakavu ila wanaambiwa wasaidie serikali iendelee kutesa na kuteka raia wake na wanaelekeza wabunge wao wapinge kwa nguvu zote kujadili maslahi ya watz.....
Ccm ni ileile na wana cccm ni walewale msisubiri maajabu ya miaka 5 wkt wameshindwa miaka 50
 
bora zito kuliko malinzi, kwa sbb atataka kuweka record ili zimsaidie, twendeni na zito, siasa wekeni kando
 
Namkubali njoo broo tutakusaidia ufanikiwe kwa hilo
 
Kama n
Kama ni kweli ZZK apewe TFF
 
Fitina za watu wa mpira mbaya sana. Usijeshangaa anapata kura 6 kati ya kura 100. Kura hakuna siasa kuna fitina. Watu wameshapanga safu zao mikoani wanasubiri uchaguzi tu. Yeye akienda kichwa kichwa ataaibika. Kule hakuna wasomi kama TLS.
 
Hana mchango wwte n uchu wa madaraka. Kawasaidia nn wana kg lcha ya kua na uchum mzur bado wako hoi sn.
 

Very strategic. I wish the guy was reliable and dependable!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…