johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kasema walikuwa wawili tu. Tuko vizuri na hakuna kifo.Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae.
Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.
Source Star tv!
Kile kipimo cha mapapai au
Alingatwa na coronaCorona au changamoto za upumuaji?
Bado kufanyajeAlikuwa bado tu!?
Kuf*Bado kufanyaje
Wanachokipanda macccm watakivuna wani deiGeneral Ulimwengu yuko sahihi.Ni kwa hura za Meko na Ndugai tu ndio maana Tanzania haiangamii.
Mungu huyu ni wa kumwogopa sana.Labda kama ni mungu mwingine.Ila Mungu anasikia na maombi ya waovu kama Magufuli na Ndugai.Lakini tuna mazuzu wanaamini Kila anachosema magufuli ni sauti ya Mungu,anachosema Mbowe au Lissi au Zitto ni sauti ya shetani.Kwa hakika tujue namna Mungu anavyofanya kazi na kujibu,wala hutopata shida.
Sent using Jamii Forums mobile app