Mpepetaji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 346
- 213
“Kwa masikitiko sana wako watu wanaozunguka huko mataani kuwadanganya Watanzania na wanawaambia kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi, kimsingi Naibu Spika ukiangalia mabadiliko wanayoyasema ni mabadiliko ambayo mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utashi wake mkubwa wa kisiasa aliamua kuyachukua na kuyafanyia kazi.
Serikali ilileta Bungeni mapendekezo ya miswada ya sheria Tatu, tukafanyakazi ya kuchambua sheria hizo na tukatunga sheria ambapo lengo lake kufanya hayo maboeresho ambao hao wenzetu wanapita wanawambia Watanzania.”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Timotheo Mzava Mbunge wa Jimbo Korogwe vijijini amepata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wazira ya Katiba na Sheria ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 iliyowasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.