Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

Mbunge Wa Kwale Deus Clement Sangu atilisha kupoteza Wanaotaka gombea ubunge Kwale. Asema yeye ni MAFIA

Msikilize
ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA
Duh,
Hao wamezoea kuua, sasa wanatishiana kuuana wao kwa wao kwa ajili ya ulaji/matumbo yao.

Uchaguzi una maana gani kama wabunge wanasema hivyo?!

Kwa maana nyingine hakuna uchaguzi wa kweli hata ndani ya CCM yenyewe. Wanaoenda kugombea watatekwa, kuumizwa na kuuliwa na wabunge kama huyo wanaosema wao ni "mafia".

Kwa matamshi hayo ingefaa awe tayari keshatumbuliwa na kuburuzwa mahakamani, ila mtumbuaji naye sasa, dah!
 
Hawa ndo watu wa TISS! No wonder TISS intelligence yao infanya kazi kwenye vikao vya CDM tu nyanda zingine zote haina tija.
 
Chini ya uongozi huu wa mama tutaona mengi, yamerudi yalee ya unanijua mm ni nani?!.
Halafu anataka tumpe tena mi5...hata kama kura wataiba siku hiyo nitapumzika home kutwa nzima kuliko kwenda kupanga foleni kuhalalisha ungese!
 
Back
Top Bottom