ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Tena ni wajinga na hawo wanaosapot wakati hawajui hata maana ya milele.Kumbe magufuli ataishi milele ?.eti atawale milele.watu ni wapumbavu sana tanzania
Tena ni wajinga na hawo wanaosapot wakati hawajui hata maana ya milele.Kumbe magufuli ataishi milele ?.eti atawale milele.watu ni wapumbavu sana tanzania
Kabisa hawajui mkuuTena ni wajinga na hawo wanaosapot wakati hawajui hata maana ya milele.
Kwahiyo hakuna kufa kumbeNdio naunga mkono hoja maana CCM na jpm ndio mpango mzima
State agent
pamoja na kukata mauno bungeniMoja wapo ya umaarufu wa huyu Mbunge Deo Sanga "Jah People" pale Makambako ni Kuvuta Bangi.
Naunga mkono hoja hata China wamefanya hivyo yanini tushindweDeo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Afandesele apewe kitengo cha kuwavutisha bange wabunge wavutajiYawezekana hata alivyotoa hayo maoni alikuwa amevuta tayari
Swali zuriWakongwe humu JF, hivi kati ya marais wote TZ nani anaongoza kwa kusifiwa.
wase.ng.ee km hawa ndo wanafanya bangi hionekane km ktu cha kjngaDeo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Akapimwe kinyesi.Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele
Hawa waropokaji wanajua maana ya milele? Kuna binadamu anayeweza kuishi milele? Jinga kabisa, idiot!Deo Sanga ama Jah People ( aliyewahi kutuhumiwa kuvuta bangi miaka ya nyuma ) , leo bungeni ameomba sheria za nchi zibadilishwe ili Mwenyekiti wa ccm Dr Magufuli awe Rais wa milele