Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia kali.
Madai ya Perry yamegusa hisia kali nchini Nigeria, ambapo Boko Haram wameua zaidi ya watu 50,000 na kuwalazimu milioni 2.5 kukimbia, huku wengi wakilazimika kutafuta hifadhi nchini Niger, Chad na Cameroon.
"Tumekuwa tukijiuliza kwa miaka, kando na uvamizi na utekaji nyara magaidi hawa wanapata fedha zao kutoka wapi? Inatia wasiwasi. Sasa kwa vile Mbunge wa Marekani amezungumza hadharani kuhusu hilo, hatuwezi kukataa kuwa ni madai tu."
"Nilihudumu katika kamati inayoshughulukia masuala ya Boko Haram, na wanakijiji walitueleza mara kwa mara kuhusu helikopta zinazosafirishwa na wageni ambazo ziliendelea kutua Borno zikiwa na silaha, risasi na pesa taslimu," alisema Akinyemi.