Mbunge wa Marekani athibitisha Marekani kupitia USAID kuwa ilifadhili kundi la Boko Haram la Nigeria

Kwahiyo wale tunaowaona (magaidi)ni watu wa dini gani?
 
Acha tu mkuu, wale jamaa wana mahaba na nchi yao.

Hao blacks wanosema wanakandamizwa ila bado US wanaipenda mno, nyimbo zao, movie zao nyingi ni kuipromote US na sio nchi zao za asili.
 
Mkuu binafsi siamini kama US inapambana na Uislam.

Kama ni hivyo basi tayari imeshautawala.
Ni vile wale jamaa wanaangalia maslahi yao, ukiwaingilia maslahi yao basi watafanya kila namna uwe nao njia moja.

Hizo nchi kama Saud Arabia, Misri zote zipo chini yao. Ni Iran na hao Hamass ndio wanaleta upinzani.

Hizo nchi za Africa zimemkataa mmaeekani halafu zinamleta mrusi na mchina, mzee ni yaleyale.

Ukiyaangalia haya mambo kwa mlengo wa kidini utaumizwa na kua manipulated zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…