Toga JF-Expert Member Joined Oct 21, 2015 Posts 586 Reaction score 604 Jan 8, 2025 #1 Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya, inajirudia kuwa a Hell Run!
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya, inajirudia kuwa a Hell Run!
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Jan 8, 2025 #2 HATUIONI.MMESHACHUKUA YENU NA SISI TUCHUKUE YETU.
H hussein h kitambi Member Joined Aug 16, 2014 Posts 37 Reaction score 42 Jan 8, 2025 #3 Write your reply...hadi leo lile daraja hawajenga du kaz sana