Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Happy... shughuli iliyofanyika jijini Dar es Salaam ikiambatana na mbunge huyo kutoa mahari pamoja na Furaha ya Ujauzito wa Mwanadada huyo anayetarajia kujifungua hivi karibuni
47692833_336191410315233_3812930416681133392_n.jpg
49907244_337856653484429_6004433611380090477_n.jpg
 
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?

Vijana wa siku hizi wana ugonjwa wa kuiga mambo wanayoyaona kwenye cinema za watu wa nje hasa Ulaya na Marekani bila kujua maana yake! Ndio maana unaweza kumkuta kijana amevaa t-shirt iliyoandikva maneno ya kumdhalilisha bila yeye kujua!!
 
Tatizo wewe ulienda shule kujazwa ujinga.

Wewe umefundishwa kuandika yale usiyoyaongea, barua. Mimi licha ya mafunzo ya kuandika barua, pia nimefundishwa kuandika kukaribia na matamshi ninavyo yatamka.

Kama umefundishwa na mwalimu mjinga unategemea nini?

Kama kila mtu akiamua kuandika kukaribia na matamshi mbona tutaharibu lugha yetu kabisa kwanza hatutaelewana..
 
Kama umefundishwa na mwalimu mjinga unategemea nini?

Kama kila mtu akiamua kuandika kukaribia na matamshi mbona tutaharibu lugha yetu kabisa kwanza hatutaelewana..
Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
 
Back
Top Bottom