Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anhaaa,,, ahsanteNashukuru umenisaidia kumuelewesha huyu mtoto japo umetumia lugha kali, ni wahamiaji sio wavamizi lol.
Pia si kila Mbilinyi ni mkinga mfano kama huyu anayeongelewa hapa si mkinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo mwanamke nae ndondocha kukubali huo upuuzi, tazama mwanamke mwenye msimamo...Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Gahwa = Ghahawa.Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Utachekwa, ndiyo nini hicho?Gahwa = Ghahawa.
Punguani wahed.
Ni wavamizi kwa mbeya mjini sema wanahela balaaa wameteka biashara hapo
Dah bora hata ungesema muwanji maana wawanji na wakinga wanaendana kuna mbilinyi mkinga na mbilinyi muwanji
Nadhani wewe umelelewa katika misingi ya chokraa na sio misingi ya kidini,siwezi kubishana na mal..ya kama weweNa wewe una wivu wa kike kapigwa mimba mwingine kichefuchefu unapata wewe, sio bure utakuwa shoga wewe! ulitaka muhishimiwa auziwe mbuzi kwenye gunia ? jinga kabisa fyuuuu!
Hapana mkuu labda wewe kama sio mkristu,na huna misingi ya dini.private life kwa kiongozi hakuna ,labda ni kwa Afrika tu,kiongozi anatakiwa awe mtu wa mfano kwa jamii.
Kwahyo unataka aoe anaeendana ili akufurahishe weweAshakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu
Sent using Jamii Forums mobile app