Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Tatizo wewe ulienda shule kujazwa ujinga.Mmeutowa=mmeutoa
Bwanake=bwana wake
Tatizo la kujazwa ujinga.
Tatizo wewe ulienda shule kujazwa ujinga.
Wewe umefundishwa kuandika yale usiyoyaongea, barua. Mimi licha ya mafunzo ya kuandika barua, pia nimefundishwa kuandika kukaribia na matamshi ninavyo yatamka.

Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.Kama umefundishwa na mwalimu mjinga unategemea nini?
Kama kila mtu akiamua kuandika kukaribia na matamshi mbona tutaharibu lugha yetu kabisa kwanza hatutaelewana..
Kwako wewe ni kama kijiwe tu, ila kwangu mimi naichukulia JF kama shule.Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Hajalia huyu?au alilia nyumbani maana macho yamevimbaKamanda kapiga goti nae [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tusikie faiza atasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
SAA nyingine ni bora kukubali kukosolewa , Ili ujifunze.Tatizo wewe ulienda shule kujazwa ujinga.
Wewe umefundishwa kuandika yale usiyoyaongea, barua. Mimi licha ya mafunzo ya kuandika barua, pia nimefundishwa kuandika kukaribia na matamshi ninavyo yatamka.
Juzi kwenye Jukwaa LA mapenzi, Ulimsema vibaya jamaa mmoja kwa uandishi wake mbovu., ukahoji km kweli jamaa kapita shule, kumbe na ww ni wale waleKila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.