Na bado wanasema kijana usichelewe kuoa, sasa Sugu kawahi?
I mean uzao wake wa kuanzia sasaSugu kwa maana halisi ya kuoa alishaoa kitambo. Labda kama wewe una-Define ndoa kwa kuvaa shati la kitenge na kupiga magoti then kwenda kusimama ukumbini.
I mean uzao wake wa kuanzia sasa
Si kweli.Juzi kwenye Jukwaa LA mapenzi, Ulimsema vibaya jamaa mmoja kwa uandishi wake mbovu., ukahoji km kweli jamaa kapita shule, kumbe na ww ni wale wale
Sent using Jamii Forums mobile app
Waja wa mwenyezi Mungu...... Huyo dada anakasoro gani? Sugu anaoa m'mke aliyemchagua yeye sio kwa ajili ya kuwaridhisha Waja.Ashakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mtu mwenyewe SUGU!! Jinga sana!Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
utabaki hivohivo na UFOXY wakoHuu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Better late than neverNa bado wanasema kijana usichelewe kuoa, sasa Sugu kawahi?
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Vijana mnapotea kuoa wake maonesho ase mtakufa mapema ombeni Mungu mpate wake sio wake maoneshoAshakumu si matusi..kimtazamo huyu dada na sugu hawaendani!Kuna uwezekano sugu kachungulia fursa..Mtazamo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishapiga goti kuvalisha pete mkuu?Sue Side....a.k.a Machinjioni